Mwanzo 2:18

"Bwana Mungu akasema, si vema mtu huyu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."

Familia ya Mch. Dr Daudi & Mrs Elizabeth Ndekeja

tunayo furaha na heshima kukukaribisha kuweza na kushiriki kwenye sherehe ya ndoa na harusi ya kijana wetu

John Ndekeja
na
Mariam Rodrick
Ndoa:
Juni 7, 2026 • Busanda SDA Church
Sherehe:
Juni 8, 2026 • Beroya SDA Church - Katoro, Geita
Njia za malipo:
  • Jina la Akaunti Daudi Magumba Ndekeja
  • Benki CRDB Bank Bariadi Branch
  • A/C 0152482245300
Tunashukuru sana kwa maombi na mchango wako.